DW - utambuzi wa kimataifa kwa mashujaa wa kwetu | Masuala ya Jamii | DW | 01.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

DW - utambuzi wa kimataifa kwa mashujaa wa kwetu

Tuandikie kuhusu visa vya watu wanaoleta mabadiliko katika jamii yako upate fursa ya kushinda simu nzuri ya kisasa au zawadi nyengine kabambe.

DW ni ya mashujaa wa kwetu. Watu wanaotegemea ufahamu wa kimataifa na wanaofikiri, kutafakari, kutafakari upya na kuvumbua mambo mapya. Watu wanaotengeneza sheria badala ya kuzifuata na wanaotia motisha wengine badala ya kuwa kikwazo. Tuko kwa ajili yao. Ni kazi yetu kuwaletea habari na taarifa wanazozihitaji kujenga dunia yao.

Orodha ya visa vya DW vya mashujaa wa kwetu

-
-
- Joel Tembo Vwira na kampuni yake ya kuzoa taka katika jiji la Goma
-
-
- Daktari wa Congo kukabidhiwa tuzo ya Sakharov
- „Vijana! - Bila juhudi hakuna maendeleo.“
- Mzee wa Kampala
Mengi zaidi juu ya visa vingine vya mashujaa wa kwetu na matangazo mapya ya Kiingereza kutoka DW bonyeza hapa dw.com/localheroes

Usisubiri- tueleze hadithi ya shujaa wako aliye karibu nawe
Tungependa kusikia juu ya watu katika jamii yako wanaoleta mabadiliko. Je, ni watu wanaopigania matibabu bora au kiwanda kinachoweza kuleta ajira nzuri? Ama shujaa wako ni bibi yako aliyekuwa akikupeleka shule? Mashujaa wanakuwa wa aina tofauti – tungependa kusikia visa vyote vinavyotokea karibu nawe na kuonesha dunia hawa mashujaa wa mitaani ni akina nani hasa.

Jaza fomu hapo chini au jiunge na majadiliano katika mtandao wa Facebook ili kuwasilisha hadithi yako. Unaweza hata kujumuisha picha na vidio. Washindi watachaguliwa kutoka hadithi zote zilizokamilika. Washiriki hawana haki kisheria kudai zawadi. Hakuna uwezekano wa kuchukua hatua za kisheria. Uwasilishaji wa hadithi zote ni hadi tarehe 19 Julai, 2015.

Zawadi
- Mshindi: Simu ya kisasa (Smartphone) na kifurushi cha shujaa wa mtaani
- Nafasi ya pili na ya tatu: iPod na kifurushi cha shujaa wa mtaani
- Zawadi ya kufutia machozi: Moja kati ya vifurushi saba vya shujaa wa mtaani

DW inapendekeza

Viungo vya WWW

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com