1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW Michezo 08.03.2021

Bruce Amani
8 Machi 2021

Bayern yaionyesha Dortmund nani ndiye jogoo wa Der Klassiker // Shirikisho la kandanda Afrika lapata uongozi mpya baada ya FIFA kuingilia kati suala la uchaguzi //Ni mwanzo mpya Camp Nou! Joan Laporta arejea kama Rais wa Barcelona baada ya kushinda uchaguzi wa klabu // Na klabu ya Yanga yamuonyesha kadi nyekundu kocha wake pamoja na benchi lote la Ufundi.

https://p.dw.com/p/3qMR4