Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Masanja Mkandamizaji mara hii anawauliza wakaazi wa Dar es Salaam watume salamu za pongezi kwa rais mpya wa Zanzibar
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3krMh
Kwa mara nyengine Zanzibar imekuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa utakaozungumzia umuhimu wa amani ikiwa ni mfululizo wa kushajiisha amani katika eneo hilo lenye migogoro ya kisiasa na kijamii.
Tumeibuka tu kutoka mwaka utakaokumbukwa sana kwa janga lililotikisa ulimwengu wote, mabadiliko ya kisiasa na maandamano makubwa ya kudai haki katika jamii.
Matumaini ya mivutano ya kisiasa ya muda mrefu Zanzibar kugeuka kuwa historia, yamezidi kuongezeka baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwakaribisha viongozi wa taifa hili kijijini kwake Chato geita Tanzania
Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi amekamilisha ziara yake Tanzania, taifa ambalo ubia wake na Beijing umeipatia China jumla ya Dola za Kimarekani Bilioni 10 katika kipindi cha Miaka 10