DW inakuletea mchezo wa Karandinga | Noa Bongo | DW | 02.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Noa Bongo

DW inakuletea mchezo wa Karandinga

DW inakuletea mchezo wa Karandinga

LbE Tanzania 2016 (DW/G. P. Kabogo)

Timu ya LbE Kiswahili: Fundi mitambo, Michael (Kushoto), Grace Kabogo, (katikati) mtayarishaji na mwandaaji wa vipindi vya Noa Bongo-Jenga Maisha Yako na Simon John (kulia) mtayarishaji msaidizi, waliofanikisha kurekodiwa mchezo mpya wa ''Karandinga'', hadithi nne kuhusu upelelezi katika Uhalifu wa Mtandaoni, Unyanyasaji wa Majumbani, Uchafuzi wa Mazingira na Biashara Haramu ya Binaadamu.

DW inakuletea mchezo wa Karandinga

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com