Duale asema ataachana na siasa ikiwa Ruto atashinda urais | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Duale asema ataachana na siasa ikiwa Ruto atashinda urais

Wanasiasa nchini Kenya wanaendelea kurushiana maneno kuhusu mageuzi ya katiba na watakaowania urais mwaka 2022. Kiongozi wa chama tawala bungeni Aden Duale amesema ataachana na siasa ikiwa Naibu wa Rais William Ruto atashika hatamu kuiongoza nchi.

Sikiliza sauti 02:38