DRC katika jukwaa la mitindo | Mada zote | DW | 29.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

DRC katika jukwaa la mitindo

New York, Paris, Berlin-Kinshasa! Mji mkuu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo unataka kuwa sehemu ya jukwaa la mitindo ya Kimataifa, wanamitindo wa nchi hiyo wanaonyesha ustadi wao katika wiki ya mitindo mjini humo.