Dondoo za Afrika katika magazeti ya Ujerumani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 19.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Dondoo za Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Tuangazie yale yaliyopewa umuhimu na magazeti ya Ujerumani kuhusiana na bara la Afrika kwa juma hili linalomalizika, ikiwa ni pamoja na: Kesi ya ufisadi inayomkabili rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, hali ya kisiasa nchini Uganda na Paul Rusesabagina wa Rwanda ambaye kwa sasa anakabiliana na mashitaka ya ugaidi na uasi kwenye mahakama mjini Kigali.

Sikiliza sauti 05:01