1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dondoo kuhusu Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Zainab Aziz1 Aprili 2022

Handelsblatt linauliza je nchi za jumuiya ya BRICS ikiwa pamoja na Afrika Kusini zimesimama wapi katika vita vya nchini Ukraine. Neuer Zürcher linauliza iwapo amani imerejea nchini Ethiopia baada ya vita vya nchini humo kumalizika? Die tageszeitung linafuatilia matukio nchini Mali kisiasa kurejea kwenye demokrasia. Nalo gazeti la Süddeutsche linazungumzia ukame wa muda mrefu Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/49L5P