Donald Tusk achaguliwa tena Rais Baraza la EU | Media Center | DW | 10.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Donald Tusk achaguliwa tena Rais Baraza la EU

Donald Tusk amechaguliwa tena kuwa Rais wa Baraza la Ulaya, licha ya kupingwa na nchi yake, Poland, Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini, imeunga mkono kufutwa kazi kwa rais Park Guen-hye, aliyekabiliwa na tuhuma za kukiuka katiba ya nchi, na Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amerejea nyumbani, baada ya matibabu ya miezi miwili London, Uingereza.

Tazama vidio 01:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)