Donald Trump ashinda uchaguzi wa Rais wa Marekani | Matukio ya Kisiasa | DW | 09.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Donald Trump ashinda uchaguzi wa Rais wa Marekani

Wamarekani wamchagua Trump kuwa rais wao

Wamarekani wamemchagua Donald Trump kuwa rais wa 45 wa nchi hiyo. Amejikingia sauti 276 dhidi ya 218 za wawakilishi wa majimbo. Rais mteule Trump amewahutubia wafuasi wa chama chake na wamarekani kwa jumla. Mgombea wa chama cha Democrats Hillary Clinton ameungama ameshindwa na ameshazungumza kwa simu na Donald Trump kumpongeza.

 

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com