Divai ya tufani mjini Frankfurt | Media Center | DW | 21.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Divai ya tufani mjini Frankfurt

Utamaduni wa divai mjini Frankfurt umekuwa sehemu ya mji huu kwa zaidi ya miaka 250. Kwa miaka sasa mji huu umekuwa ukishuhudia tamasha la divai ya tufani au Apple Wine. Ni mvinyo unaowekwa katika glasi maalum zilizotengenezwa kwa udongo ziitwazo "Bembel".

Tazama vidio 01:34