Dindéfelo:Kijiji cha mbuga ya asili Senegal | Media Center | DW | 09.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Dindéfelo:Kijiji cha mbuga ya asili Senegal

Katika juhudi za kuyalinda mazingira na kuwalinda aina ya viumbe wanaokabiliwa na kitisho cha kutoweka, wakazi wa Dindéfelo nchini Senegal wamekubali mbuga ya asili kuanzishwa kijijini kwao na kufanya kampeni ya kutokomeza taka za plastiki.

Tazama vidio 03:30
Sasa moja kwa moja
dakika (0)