1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Diaz-Canel ni Rais Mpya wa Cuba

Daniel Gakuba
19 Aprili 2018

Cuba imempata rais mpya, Miguel Diaz-Canel. Rais huyu anachukua nafasi ya Raoul Castro, ambaye yeye na kaka yake Fidel wameiongoza Cuba kwa miongo sita. Diaz-Canel ameahidi kuendeleza siasa za kisoshalisti zilizoasisiwa na Castro. Papo kwa Papo.

https://p.dw.com/p/2wMBp