Dhuluma za Kinyumbani | Media Center | DW | 22.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Dhuluma za Kinyumbani

Victoria Larsbrey alimuacha mumewe aliyekuwa anampiga mwaka 2011 na kuwa mwanaharakati dhidi ya dhulma za kinyumbani. Anawataka wanawake wengine waufuate mfano wake. Lakini katika baadhi ya sehemu za Afrika, baadhi ya wanawake bado wanaamini kwamba wanaume wanastahili kuwapiga ili kuonyesha kwamba wanawapenda.

Tazama vidio 01:44
Sasa moja kwa moja
dakika (0)