Dhulma za kingono katika shule nchini Uganda | Media Center | DW | 13.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Dhulma za kingono katika shule nchini Uganda

Kwenye mfululizo wa Nasema Sitaki unaoangazia suala la dhuluma za kingono dhidi ya watoto katika eneo la Afrika Mashariki na Kati, tunamulika visa vya manyanyaso ya kimapenzi katika shule na taasisi za elimu nchini Uganda ambapo licha ya matukio hayo hatua hazichukuliwi. Sasa kuna mapendekezo ya kutungwa sheria kali. Ungana na mwandishi wetu Lubega Emmanuel kwenye ripoti hii.

Sikiliza sauti 03:48