Deutsche Bank katika kashfa ya utakatishaji fedha | Media Center | DW | 21.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Deutsche Bank katika kashfa ya utakatishaji fedha

Nyaraka zilizovujishwa zinafichua mchango wa benki kubwa zaidi nchini Ujerumani, Deutsche Bank, katika uwezeshwaji wa biashara zinazotiliwa mashaka. Nyaraka hizo za FinCEN zimeonesha jinsi beni kubwa ulimwenguni, ikiwemo Deutsche Bank, zilivyowaruhusu wahalifu kuhamisha fedha kote duniani.

Tazama vidio 02:05