Deutsch – warum nicht? | Kujifunza Kijerumani | Podcasting & Feeds | DW | 18.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Podcasting & Feeds

Deutsch – warum nicht? | Kujifunza Kijerumani

Deutsch-warum nicht? ni mfululizo wa sehemu nne kuhusu maisha ya mwanafunzi wa uandishi habari, Andrea na rafiki yake asiyeonekana, Ex. Somo hili ni la wanafunzi wanaoanza na pia wale wa kiwango cha juu.

Furahia kujifunza Kijerumani!

Furahia kujifunza Kijerumani!

Unaweza kutumia vielelezo hivi vya sauti kama mtalaa wako binafsi. Jisajili hapa upate mfululizo wote wa Deutsch- warum nicht?.

DW inapendekeza

Viungo vya WWW