Deutsch Interaktiv | Deutsch Interaktiv | DW | 03.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Deutsch Interaktiv

Deutsch Interaktiv

Kozi ya lugha ya mtandaoni ya bila malipo ya "Deutsch Interaktiv" inalenga wanafunzi wa Kijerumani wa kiwango cha A1 hadi B1 ndani ya Mfumo Maarufu wa Ulaya wa Marejeleo ya Lugha (Common European Framework of Reference for Languages). Klipu za sauti na video husaidia kujifunza kusikiliza na ufahamu wa kuangalia. Maendeleo yako ya kujifunza yanaweza kuthibitishwa mara moja kwa takribani mazoezi na majaribio 750 changamani. Na karatasi za mazoezi, vitengo vya sarufi, kamusi yenye zaidi ya misamiati 7,000 na vifaa vya matamshi vyote vinarahisisha kujifunza.

Viwango: A1, A2, B1
Midia: Sauti, Maandishi (Pakua)
Lugha: Kijerumani | Kiswahili