1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Densi ya ballet Jamhuri ya Afrika ya Kati

9 Machi 2018

Bangui, ni Mji Mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati. Katika nchi ambayo imegawika pakubwa kutokana na mapigano ya kikabila na kidini densi ya kitaifa ya mtindo wa Ballet ni jambo la nadra linalowaunganisha raia.

https://p.dw.com/p/2u3LZ