1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Daraja lakatika Dodoma kutokana na mvua

Lilian Mtono3 Machi 2020

Mawasiliano yamekatika na safari zimevunjika kufuatia kukatika kwa barabara kuu inayotokea mkoani Dodoma hadi Morogoro na Dar es Salaam huko nchini Tanzania kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. DW ilizungumza na mkuu wa mkoa wa Morogoro Loatha Ole Sanare, kulizungumzia tukio lenyewe.

https://p.dw.com/p/3YnF8