1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

COVID-19: Ujerumani yatoa mafunzo kwa wahudumu wa viwanja vya ndege Afrika Mashariki

25 Juni 2020

Wakati dunia ikifunguka tena tangu kuibuka kwa COVID 19, Serikali ya Ujerumani imeanzisha mafunzo kwa wahudumu wa viwanja vya ndege Afrika ya Mashariki, ili kuwasaidia kujikinga na mambukizi wakiwa kwenye majukumu yao. Video na Ahmad Juma.

https://p.dw.com/p/3eKj9