1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

COVID-19: Mawigi na kitisho cha kueneza virusi vya corona

22 Mei 2020

Maeneo ya ususi ni mojawapo ya maeneo yanayoshauriwa kuchukua tahadhari zaidi kuepusha usambaaji w avirusi vya corona. Vilevile wanaoyavalia mawigi pia wanashauriwa kuchukua tahadhari zaidi kuhusiana na hatari ya virusi vya corona. Kwa nini? Ahmad Juma anajibu hilo kwenye vidio ifuatayo.

https://p.dw.com/p/3cmyH