1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Congo bado yakabiliwa na kitisho cha Ebola

Lilian Mtono
12 Februari 2019

Viongozi wa serikali mjini Butembo na Beni wamewalaumu raia kwa kuwa chanzo cha kudumu cha homa ya ebola ambayo hadi sasa imewaua zaidi ya watu mia tano tangu iliporipuka mwezi wa Agosti mwaka jana. Sikiliza ripoti kamili kutoka kwa mwandishi wetu Benjamin Kasembe aliyeko Goma.

https://p.dw.com/p/3DEDJ