Cologne yamtimua Gisdol, Mvutano wafukuta Bayern | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 12.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Cologne yamtimua Gisdol, Mvutano wafukuta Bayern

Kibarua cha kocha wa FC Cologne Markus Gisdol chaota mbawa, baada ya klabu hiyo kutota katika mechi ya Bundesliga, huku Bayern Munich wakiendelea kutamba kileleni mwa ligi licha ya kujikwaa na kulazimishwa sare maua na Union Berlin. Mvutano wajitokeza Munich!

Sikiliza sauti 09:47