1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Cohen akiri kuvunja sheria wakati wa kampeni za Trump

Yusra Buwayhid
22 Agosti 2018

Michael Cohen, aliyekuwa mwanasheria wa Rais wa Marekani Donald Trump, amekiri kukiuka sheria za matumizi ya fedha za kampeni za urais. Cohen asema Trump alimuagiza kumlipa nyota wa ngono kwa fedha za kampeni, ili afiche uhusiano wake na rais huyo wa Marekani.

https://p.dw.com/p/33ZZ1