Christopher Mtikila atangaza kuwania mgombea binafsi wa Urais Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 03.03.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Christopher Mtikila atangaza kuwania mgombea binafsi wa Urais Tanzania

Nchini Tanzania joto la uchaguzi linazidi kupamba moto wakati ambapo shughuli hiyo inasubiriwa kufanyika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu.

Tanzania wajitayarisha na uchaguzi Oktoba 2010

Tanzania wajitayarisha na uchaguzi Oktoba 2010

Wagombea wamekuwa wakijiandaa kwa uchaguzi huo na hata chama kipya cha jamii kimepata usajili wa muda mwanzoni mwa wiki hii. Kwa upande mwengine, suala la kuruhusiwa mgombea binafsi kushiriki katika uchaguzi mkuu bado linaendelea kuzusha mitazamo tofauti. Kutokana na hilo, Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia, Christopher Mtikila, ametangaza kuwa hata chama chake kisipomteua kuwawakilisha katika uchaguzi, yeye atawania wadhifa wa rais kama mgombea binafsi. Atafanikiwa? Mwandishi wetu wa Dar es salaam, Christopher Buke, alikutana na Christopher Mtikila na haya ndiyo aliyomulezea

Mwandishi: Thelma Mwadzaya

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com