Christina Singeli- waziri wa michezo anayehamasisha michezo hasa kwa wasichana | Media Center | DW | 28.06.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Christina Singeli- waziri wa michezo anayehamasisha michezo hasa kwa wasichana

Christina Singeli ni waziri wa michezo katika serikali ya wanafunzi wa chuo cha uwalimu wa awali Ndala, kilichopo wilaya ya Nzega mkoani Tabora magharibi mwa Tanzanania. Alichaguliwa kushika nafasi hiyo kutokana na hamasa ya kupenda michezo na uongozi. Veronica Natalis alitemebelea chuoni kwake na kuandaa makala hii.