1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto zinazoikumba mbuga ya wanyama pori ya Nairobi

Bernard Maranga17 Januari 2022

Mbuga ya Kitaifa ya Nairobi yaani Nairobi National Park, ndiyo mbuga ya kipekee duniani iliyo katika mji mkuu. Mbuga hii inaadhimisha miaka 75 tangu kuzinduliwa kwake. Je mbuga hii ina umuhimu gani na ni changamoto zipi zinayoikabili? Makala ya mtu na mazingira inaiangazia mbuga hiyo, miaka 75 tangu kuanzishwa kwake.

https://p.dw.com/p/45coe