Changamoto za walemavu wa ngozi Burundi | Media Center | DW | 19.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Changamoto za walemavu wa ngozi Burundi

Nchini Burundi watu wenye ulemavu wa ngozi wanabaguliwa na jamii na hata kuuliwa. DW imezungumza na Aline Niyubahwe, mwanamke aliyekosa fursa ya kujiendeleza na masomo ya sekondari kwa sababu ya ulemavu wake

Tazama vidio 02:30