Changamoto za uandaaji wa filamu Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 30.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

utamaduni na sanaa

Changamoto za uandaaji wa filamu Tanzania

Utayarishaji wa filamu zinazowakosoa watawala au jamii kwa ujumla hukabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo nyingine huwakwamisha wasanii wenye vipaji na kuwanyima fursa ya kujiendeleza katika taaluma zao.

Sikiliza sauti 09:46

Amil Shivji katika mahojiano na DW

Inahitaji wasanii mahiri wenye ukakamavu na shujaa kuweza kuandaa filamu zenye ujumbe mzito unaokusudiwa bila kuogopa matokeo yanayoweza kutokea. Katika Kinagaubaga Josephat Charo amezungumza na Amil Shivji, mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com