Changamoto za sekta ya filamu Ethiopia | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 15.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Changamoto za sekta ya filamu Ethiopia

Sekta ya filamu nchini Ethiopia hutengeneza filamu za vichekesho vya kimapenzi kurushwa au kuoneshwa kwenye televisheni. Lakini si hayo pekee. Baadhi ya vijana waandaji wa filamu wamepata nafasi katika chuo chaa Blue Nile ambako wanajifunza jinsi ya kuandaa filamu zinazooneshwa kwenye kumbi za sinema, lakini kwa gharama ya chini.

Tazama vidio 01:26