Chama tawala Tanzania chapata takribani 100% uchaguzi wa mitaa | Media Center | DW | 25.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Chama tawala Tanzania chapata takribani 100% uchaguzi wa mitaa

Wizara yenye dhamana ya chaguzi za serikali za mitaa, vijiji na vitongoji nchini Tanzania inasema chama tawala cha mapinduzi, CCM, kimepata ushindi wa takribani 100% kwenye uchaguzi uliokuwa umesusiwa na vyama kadhaa vya upinzani. Gwandumi Mwakatobe anazungumzia maana ya matokeo haya kwa chaguzi nyengine zijazo, ukiwemo wa rais na wabunge mwakani.

Sikiliza sauti 02:42