Chama cha upinzani FDC chakutana Kampala | Matukio ya Afrika | DW | 22.11.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Chama cha upinzani FDC chakutana Kampala

Nchini Uganda chama kikuu cha upinzani Forum for Democratic Change-FDC, kinakutana leo mjini Kampala.

Kiongozi wa FDC Kizza Besigye

Kiongozi wa FDC Kizza Besigye

Wajumbe watamchagua Rais mpya wa chama hicho atakayeshika nafasi ya kiongozi wa sasa Dr Kiiza Besigye. Watu watatu wanagombea nafasi hiyo.

Mwandishi wetu Leyla Ndinda ametutumia taarifa ifuatayo.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Leylah Ndinda

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada