Chama cha CCM nchini Tanzania yatimiza miaka 36 | Matukio ya Afrika | DW | 05.02.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Chama cha CCM nchini Tanzania yatimiza miaka 36

Leo ni miaka 36, tangu kuzaliwa kwa chama tawala nchini Tanzania. Chama chama cha Mapinduzi -CCM kiliundwa kutokana na muungano wa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro Shiraz Party (ASP) cha Zanzibar.

Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

Leo ni miaka 36, tangu kuzaliwa kwa chama tawala nchini Tanzania. Chama chama cha Mapinduzi -CCM kkiliundwa kutokana na muungano wa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro Shiraz Party (ASP) cha Zanzibar. Nimezungumza na Katibu Mwenezi na Itikadi wa chama hicho Nape Nnauye na kwanza nilitaka kujuwa kipi hasa cha kujivunia katika kipindi hiki cha miaka 36.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada