CHADEMA yasisitiza kushiriki chaguzi za mitaa | Matukio ya Afrika | DW | 15.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

CHADEMA yasisitiza kushiriki chaguzi za mitaa

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kimesema hakitasusia uchaguzi wa serikalu za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba kama wengi walivyodhani na badala yake watafanya hamasa kwa watu wao kwenda kujiandikisha na kupiga kura. Sikiliza ripoti hii ya Hawa Bihoga.

Sikiliza sauti 02:33