CHADEMA yanyakua majimbo saba Kilimanjaro, CCM mawili | Matukio ya Kisiasa | DW | 27.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

CHADEMA yanyakua majimbo saba Kilimanjaro, CCM mawili

Katika uchaguzi mkuu wa Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimechukua majimbo mengi na kata nyingi zaidi katika mikoa iliyoko Tanzania Kaskazini ambapo ndiyo ngome kuu ya chama hicho.

Sikiliza sauti 02:55

Ripoti ya Charles Ngereza kuhusu ushindi wa CHADEMA

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com