CHADEMA yajitoa uchaguzi wa mitaa, vijiji | Media Center | DW | 07.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

CHADEMA yajitoa uchaguzi wa mitaa, vijiji

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimetangaza kujitowa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji unaofanyika mwishoni mwa mwezi huu wa Novemba. Mohammed Khelef amezungumza na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, kuhusu uamuzi huo.

Sikiliza sauti 08:09