CHADEMA yaapa haitorudi nyuma | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

CHADEMA yaapa haitorudi nyuma

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimetangaza mikakati mipya kuelekea uchaguzi mkuu unaokuja na kuzionya mamlaka za dola nchini humo kutotumika kuhujumu shughuli za chama hicho.

Tazama vidio 02:54