CHADEMA: Taratibu za uchaguzi zimekiukwa | Media Center | DW | 28.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

CHADEMA: Taratibu za uchaguzi zimekiukwa

Sikiliza mahojiano haya kati ya Lilian Mtono na Msemaji wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Tumaini Makene anaedai kumekuwa na ukiukwaji mkubwa sana wa taratibu za uchaguzi.

Sikiliza sauti 03:53