CCM Zanzibar yadaiwa kuishinikiza ZEC kutangaza tarehe mpya ya uchaguzi. | Matukio ya Afrika | DW | 17.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

CCM Zanzibar yadaiwa kuishinikiza ZEC kutangaza tarehe mpya ya uchaguzi.

Visiwani Zanzibar zimezagaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kwamba kuna baadhi ya wanasiasa wa chama tawala CCM ambao wanaishinikiza Tumeya Uchaguzi visiwani humo ZEC itangaze tarehe ya uchaguzi.

Sikiliza sauti 03:16

Sikiliza Mahojiano Kati ya Mohammed Abdulrahman na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com