1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Carles Puigdemont mbaroni Ujerumani

Iddi Ssessanga
26 Machi 2018

Rais wa zamani wa jimbo la Catalonia nchini Uhispania, Carles Puigdemont amefikishwa mahakamani baada ya kukamatwa nchini Ujerumani, katika hatua iliyosababisha wimbi la maandamano Catalonia, ambako maelfu ya wanaharakati wa kujitenga walipambana na polisi.

https://p.dw.com/p/2v11I