Cameroon: Vigae vya barabara vya mifuko ya plastiki | Anza | DW | 11.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Cameroon: Vigae vya barabara vya mifuko ya plastiki

Mchezaji soka wa zamani wa Cameroon ameanzisha mradi wa matumizi mapya ya mabaki ya plastiki. Roger Milla tayari ameshaweka jiwe la msingi mji mkuu wa Younde la kiwanda kitakachotengeneza mawe pamoja na bamba za kujengea njia za waendao kwa miguu kwa kutumia mchanganyo wa plastiki pamoja na mchanga.

Tazama vidio 03:04