CAIRO:Rais wa zamani wa Iraq afariki Jordan | Habari za Ulimwengu | DW | 24.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

CAIRO:Rais wa zamani wa Iraq afariki Jordan

Rais wa zamani wa Iraq Abdul-Rahman Aref amefariki katika mji mkuu wa Jordan wa Amman.Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la Pan arab al Arabiya.Hakuna maelezo zaidi yaliyotolewa kuhusu kifo chake.Marehemu Aref alikuwa mwanasiasa na mwanajeshi aliyekuwa madarakani nchini Iraq kuanzia Aprili 16 mwaka 66 hadi Julai 17 mwaka 68.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com