CAIRO.Kifungo cha miaka 15 jela kwa ujasusi | Habari za Ulimwengu | DW | 22.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

CAIRO.Kifungo cha miaka 15 jela kwa ujasusi

Mahamaka ya mjini Cairo imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 15 jela kwa mtu mwenye uraia wa Misri na Canada kwa kupatikana na hatia ya kufanya ujasusi kwa niaba ya Israel.

Mtu huyo bwana Mohammed al -Attar amedaiwa kufanya ujasusi kwa ajili ya shirika la upelelezi la Israel Mossad.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com