CAIRO: Msichana amefariki Misri kwa virusi vya H5N1 | Habari za Ulimwengu | DW | 09.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

CAIRO: Msichana amefariki Misri kwa virusi vya H5N1

Nchini Misri mtoto aliekuwa akiumwa homa ya mafua ya ndege amefariki dunia.Kwa mujibu wa msemaji wa wizara ya afya,siku ya Alkhamisi,matokeo ya uchunguzi uliofanywa,yalithibitisha kuwa msichana huyo wa miaka 10 alikuwa na virusi vya H5N1 ambavyo ni hatari kwa binadamu.Katika mwezi wa Februari nchini Misri,watu 35 waliugua homa hiyo na 15 walifariki.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com