1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi yaridhishwa na mazungumzo ya Arusha

Amida Issa26 Mei 2016

Waziri wa mambo ya nje wa Burundi, Alain Nyamitwe, amewaambia mabalozi wa nchi za kigeni Burundi ameridhishwa na matokeo ya awamu ya kwanza ya mazungumzo ya amani yaliyofanyika Arusha wiki iliyopita.

https://p.dw.com/p/1IuwL
Mazungumzo ya kuleta amani Burundi
Picha: DW/C. Ngereza

[No title]