1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vitabu vyake ni pamoja na Rosa Mistika,dunia uwanja wa fujo

Saumu Mwasimba
23 Januari 2020

Roberto Gaudiosso ni mwanafunzi wa kiswahili raia wa Itali aliyefundishwa na Profesa Kezilahabi huko Gaboron,Botswana. Msomi huyo wa lugha za kiafrika mzaliwa wa Ukerewe Tanzania alijipatia sifa kubwa katika utunzi wa riwaya za kusisimua pamoja na mashairi ya weledi mkubwa.Karibuni inamuenzi msomi huyo kwa kuzungumza na mwanafunzi wake aliyezifanyia kazi baadhi ya kazi zake.

https://p.dw.com/p/3Wiml