1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Buriani Ruge Mutahaba

Sudi Mnette28 Februari 2019

Tasnia ya muziki nchini Tanzania imepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na mmoja kati ya wadau muhimu wa tasnia hiyo Ruge Mutahaba ambae ni mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media, Zaidi msikilize mkurugenzi mtendaji wa chombo hicho Joseph Kusaga alipozungumza na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/3EGr0