1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunge Tanzania laweza kuzuia ufisadi?

Mohammed Khelef10 Julai 2014

Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow inazidi kuchukuwa nafasi nchini Tanzania baada ya bunge la nchi hiyo kumtaka mkaguzi mkuu wa serikali na taasisi ya kupambana na rushwa kuchunguza uchotwaji wa shilingi bilioni 200.

https://p.dw.com/p/1CZX4
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (kushoto) na Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Ludovick Utoh.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (kushoto) na Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Lodovick Utoh.Picha: DW/Kizito Makoye Shigela

Maoni Mbele ya Meza ya Duara inauliza ikiwa upo uwezekano wa bunge la Tanzania kuwa taasisi imara kusimamia fedha za umma na rasilimali za nchi. Je, upo uthubutu na utayarifu huo?

Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman