Bunge la Uingereza launga mkono uchaguzi wa mapema | Media Center | DW | 19.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Bunge la Uingereza launga mkono uchaguzi wa mapema

Bunge la Uingereza limepiga kura kuunga mkono uchaguzi wa mapema uliotishwa na Waziri Mkuu, Theresa May Juni 8 kwa kura 522 dhidi ya 13; Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence ameionya Korea Kaskazini kutolichokoza jeshi lake; na Japan imeanza kuwaondoa wanajeshi wake Sudan Kusini.

Tazama vidio 01:55
Sasa moja kwa moja
dakika (0)